MNMA - Inter Classes

MNMA - Inter Classes

MNMA - Inter Classes

Page d'information, Redirection vers la ligue à #

ALLER AU CHAMPIONNAT
Sur

Règles du championnat

1. Kila timu lazima iwe na Jezi; na Jezi hizo lazima ziwe na namba au lah HAITARUHUSIWA KUCHEZA.

2. Kila timu lazima ihudhurie "Pre- Match Meeting" siku moja kabla ya mchezo.

3. Timu ITAWAJIBIKA/KUWAJIBISHWA kutokana na uvunjwaji wa sheria utakaofanywa na mashabiki wake.

4. Mchezaji AKIPIGANA/KUSABABISHA UGOMVI uwanjani ATAFUNGIWA kucheza mechi zote zilizobaki na kuchukuliwa hatuna za kinidhamu kwa mujibu wa sheria na kanuni za chuo.

5. Kila timu ITAWAJIBIKA kutoa shilingi 5000/= kabla ya mchezo wake kuchezwa isipotowa HAITARUHUSIWA kucheza mchezo husika.

6. Kila Mchezaji anatakiwa awe na KITAMBULISHO au "ADMISSION LETTER" na ionyeshwe wakati wa kukaguliwa na mwamuzi kabla mchezo kuanza, iligundulika kuwa timu imechezesha Mchezaji asiye wake timu husika ITAFUTIWA matokeo na HAITARUHUSIWA kucheza michezo inayofuata.

7. Kila timu inawajibika kuwahi kufika uwanjani, endapo timu itachelewa dakika 15 toka muda uliopangwa HAITARUHUSIWA kucheza mchezo husika.

8. Timu inaruhusiwa kukata rufaa ndani ya masaa 24 baada ya mchezo husika kwa gharama ya elfu 20.

9. Sheria zote za KDFA, TFF, Caf na FIFA zinazingatiwa katika uendeshaji wa ligi nzima.

Imetolewa na M/Kiti wa Kamati ya Rufaa.

Bw. Evarist Mkandara

MNMA - Inter Classes -
MNMA - Inter Classes - mnma staff Captain of the first game
MNMA - Inter Classes - mnma staff